Akili ni kuamua kubadili mtindo wa maisha na kuishi kanuni za kibiblia maana neno la Mungu lipo wazi juu ya vinywaji vinavyolalamikiwa kuua watu Kadri siku zinavyoenda yaliyonenwa yanatimia NB Hongera sana Dr kwa kupaza sauti
Safi sana Dr. Mm ni mwanafunzi wa SUA umenena vyema .... Wanaotufundisha wengi hawapractice n hawafahamu vizuri kinachoendelea mjini well..... Research is everything in a developing country well said....
Wabunge hii kazi ya kuthibiti vinywaji na chakula na kuwezesha utafiti katika maeneo yote muhimu nchini,ni ya kwenu.Tungeni sheria nzuri za utafiti.Lipeni watafiti malipo mazuri kwa kazi zao.Badala yake mnatunga sheria za kujilipa ninyi wenyewe vizuri.Hapo ndiyo mmetufikisha kama jamii.
wao ndo wanaogoza research kubwa kuubwa zpte duniani research ni investment do we invest au porojo? hakuna research za kukalili lazima uingie field na uinvest wenzetu wana invest
Hongera mh msukuma na Esther Leo mmeonggeea. Kitu chamaa maana sn kweli kunnatatizo mahala kweny vinywaji. Hivi vipo vvya ovyo vingi. Viina itwa. Smart gynni vinyywajji. Gani hivvii. Ni. Ovyo kwa kkweli
Afathari na Nyinyi Watanzania mnavyakura vyakutosha kupambana nahizo pombe feck hapa kwetu Rwanda Kigali unakuta vijyana miaka kumu na Tano wanajikojorea sababu ya hizo pembe akinywa hata asipo kunywa Asante sana Msukuma
Mbona professor janabi anasaidia watu wengi sana, kupitia mitandao,, naomba mwacheni mzee wetu afanye kazi kuelimisha, na kuboresha afya za watanzania. Msimtengenezee kinyongo,,, serikali inapaswa kuwapa kipaumbele watu kama professor janabi. Na sio kwenda tofauti nao.
Tatizo letu huwa tunapenda kuleta negativity kwenye ukweli,ni kwa vile tumetofautiana miili yetu mwingine hata ale vipi hanenepi ,mbunge hapo aametoa mfano wa mtu anayefanya kazi ngumu what about Mimi ninaeshinda ofisini??Mimi Niko pamoja na professor Janabi katika hili kwa mustakbari wa afya yangu,sina muda/nafasi ya kufanya mazoezi basi acha nifuate kanuni za ulaji bora
ndo wabunge wetu hao... anakuja bila tafiti chanjo hiizi hua zinakuja kutokana na idadi ya ugonjwa kwenye records za hospitali zilivyo haziiibuki kuhusu bajeti punguzeni matumizi ya serikali uanzishe maaabara na nyie mlioko bungeni mnawashambulia wataaalamu.
Msukuma hajuwi kumbe hii nchi inaongozwa Kwa wahisani,mmoja tu aliekataa huu upuuzi wa kufanyiwa majaribio,laeo hii hayupo tumebaki kama mbayu mbayu,janabi anatufundisha vizuri,ukitaka kuchagua tunza hela uje uzitumie kwenye matibabu au tunza Afya uje utumie afya yako vizuri...chagua we mwenyewe.
Mbunge Msukuma kaongea point ambazo ingefaa zichukuliwe kama zilivyo kwenye utekelezaji!!!! Hapo Kuna wasomi uchwara wanajua hayo ila sjuwi nani aliyewaloga😢😢
@@mustaphahassan589 ukitaka kuuua mti kata mizizi sio kukata majan na kuacha mzizi..... Mf.ukipunguza wanga halaf ukala Nyama ya Kuku aliyekuzwa mwezi au wiki kipi bora
Msukuma anachosema yuko sawa kwa kiasi furani. matikiti maji yanayodungwa sindano na kuku wa wiki tatu ukila vinaadhiri mwili kwa kiasi gani?? I love you Msukuma you are so geneous.
Jamaa wanashindwa kuelewa Professor Janabi anachozungumzia ni issue ya mlo mmoja kwa siku, mlo unakuwa na aina zote za virutubisho yani ni mlo kamili. Hii ni moja ya tiba nzuri. Najua kuna watu wanajua zaidi yangu wanaweza kunisahihisha
Asante sana msukuma wachane wavumbuke izo biashara ni zao na waarabu wamalize vizazi vitu watanzania vijana walindwe kama migodi ya tanzanaiti ongera sana Tena sana wenu ni simba sauti ya wanyonge vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na wageni
MSKUMA.......achana na Professor wetu mjomba. Pitia tena UFAFANUZI wake kurwa mara Tatu,labda utamuelewa. Kama umemtaja kwa kwa KUSHEREHESHA wabunge wenzio.....hapo sawa,ila Muheshimu sana msomi wa miaka 1970,1980 ,huko nchi za kikoministi......hicho kijiko kimoja ulichokitaja kilikuwa adimu. Hongera Professor JANABI. Kizazi kijacho kitakuelewa.
@@euniestherwilliam1513 Hawamwelewii profesa Janabi , yule ni mtaalamu isitoshe ndiye anayepokea taarifa za wagonjwa wote Muhimbili na sababu za magonjwa, unajua mtu unaweza ukasoma hadi Chuo kikuu lakini usiekemike ,Kwa anayempinga Janabi ana matatizo ya akili kitu kipo wazi ulaji mbaya ni chanzo cha maradhi mengi na wala hakusema watu wale kuku broiler au tikiti lililochomwa sindano
😂😂😂😂😂 Msukuma yuko sahihi saana kwa Wakulima na wafanya mazoezi chakula hakikai, ushawahi muona mchezaji wa Mpira Ana kitambi , ila wakiacha mazoezi waendelee na diet
Mambo yamekua ya hovyo sana siku hizi ujinga mtu sijui ni laana gani imejaa hebu waambie hao ukweli Hongera sana Mh. Msukuma Waambie ukweli hao wanajifanya wanaabunu hela kuliko ubinadam yaani mambo ya hovyo kweli laaana tupu
Namuelewa sana my msukuma anasema anaeishi korogwe ni kweli kabisa amewahi kuniuzia viatu,naomba Bunge limlinde na kumtunza ana maoni ya mbali atatufikisha pazuri speed nafasi zaidi
Huyu mbunge mie namkubali sanaa huwa ANAONGEA UKWELI MTUPU💯 . Mungu atupe SIKIO LA KUSIKILIZA UMUHIMU WA KUFANYA UTAFITI WA VITU VINAVYOTUMIWA NA WANANCHI WA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🤲🤲
@@simasima8084 hasa hizi matirial ya vinywaji vikali ni hatari sana waliambiwa tuipitishe gongo bungeni ili ipikwe kiasili zaidi nadhani tungekunwa vitu original sana tusingeugua mafigo na maini tungekula vitu vya asili kabisa
Da! Kweli "Bunge" halina mipaka. Hata Professor Janabi mwamsasambua? Hapana!! No! No! No. Nitafurahi Sana nikisikia mumemuomba radhi. Yaani "Wabunge" mnahitaji Sana elimu ya Dr Janabi maana mnashinda mmekaa na %kubwa mna vitamin vya kutisha. Ingekua Bora Sana Kama mngemkaribisha akawapiga darasa siku moja
Hili jinga linatumia kipaza sauti vibaya kutukana wenye taaluma zao!haifikii hata nukta alichokisomea profesa janabi!amuombe radhi hadhi ya janabi haifii hata kwa ukucha!Toka apewe udaktari wa funza chooni basi amekua namadharau sana bungeni Lenyewe halikwenda shule sasa linataka na wengine waonekane wajinga kama yeye! Nashangaa sana kila likiongea nikuwashusha wengine utadhani yeye kafanya la maana huko jimboni kwake madudu matupu!limekuwa natabia likifika bungeni kukosoa wengine
Mzee unasema kweli,nani kasema msukuma siyo msomi.Mimi naona msukuma anasema ukweli wote ambao sasahivi Tz tumekuwa kama pango la kuletewa chanjo za kila aina.Kama nchi tusipoangali tunaweza kumalizwa na hawa wenzetu kutoka magharib,kwani kumekuwa na magonjwa ya kila aina,mengine hayana majina kumbe ni kwa sababu ya vyakula na chanjo zisizo thibitishwa na wataalamu wetu.
Yaan msukum cjui kwann hupew nafas ya juu katk uongoz wa SERIKALI au ndo ile tanzania hatupend wasema ukweli???? Mungu akubarike saaaaan nakupenda unanifrahisha
M nadhani kusoma sana kuna mchanganya mtu naona janabi anavyozidi kulisha watu matangopori msukuma ameeleza vizuri, hii ni dhahiri wasomi wetu wengi hawana msaada ktk jamii zaidi ya kuwapotosha na wengi hufuata maelezo hayo wakiwaamini wasomi hao.
Ndugu yule ni Professional hawezi kuwalisha matango pori ,anachokuongelea kwenye ulaji yupo sawa angalia Tanzania ya leo imejaa wagonjwa wa moyo na pressure ni kutokana na ulaji mbaya
Bunge ni mara chache sana kusimamia vitu vyenye maslahi muhimu kwa nchi ila vyenye shinikizo la kutoka nje hapo kwa mzungu bado hatujachomoka chanjo hizo ndo vifo vya ghafla haviji kuisha. Msukuma Mungu akusaidie umeongea unaloweza kuongea kwa kifupi umenawa. Tanzania nani wa kuisemea nani wa kuiokoa na mikono ya mabeberu 😭😭
Mimi janabi kanisaidia from 120 kgs to 95kg sina chakumlipa ila mungu atamlipa, kama kitu hakina umuhimu kwako ni bora kunyamaza sababu sio kila kitu ni cha kila mtu pleasee tuachien janabi wetu
@@kellyngogo3319 sasa aloambiwa walikua wanaambiwa wao wa vijijini nan? Kwanza mtu wa kijijin hata janabi hamjui mpigie ndugu yako wa kijijin muulize unamjua prof janabi? Au unaongelea kijiji gan?
Hakuna kizuri mpaka mwisho wala kibaya mpaka mwisho. Mwerevu ni yule anayetambuwa uzuri kwenye kibaya pia kutambuwa ubaya kwenye kizuri. Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako.
Hongera sana Mh Msukuma,msema kweli Mpenzi wa Mungu,big Mb
Akili ni kuamua kubadili mtindo wa maisha na kuishi kanuni za kibiblia maana neno la Mungu lipo wazi juu ya vinywaji vinavyolalamikiwa kuua watu
Kadri siku zinavyoenda yaliyonenwa yanatimia
NB Hongera sana Dr kwa kupaza sauti
Safi sana Dr. Mm ni mwanafunzi wa SUA umenena vyema .... Wanaotufundisha wengi hawapractice n hawafahamu vizuri kinachoendelea mjini well..... Research is everything in a developing country well said....
Unajitambulisha hivyo utakula supp😂😂
Wabunge hii kazi ya kuthibiti vinywaji na chakula na kuwezesha utafiti katika maeneo yote muhimu nchini,ni ya kwenu.Tungeni sheria nzuri za utafiti.Lipeni watafiti malipo mazuri kwa kazi zao.Badala yake mnatunga sheria za kujilipa ninyi wenyewe vizuri.Hapo ndiyo mmetufikisha kama jamii.
Mungu akupe maisha Msukkuma...
Hawa viongozi ni shidaa sanaaa....hatuna kiongozi anaetetea Maisha ya Mtanzania
This guy is very much on point. We need to be self-reliant. We can't just sit and wait for westerners to bring us their misleading research.
wao ndo wanaogoza research kubwa kuubwa zpte duniani research ni investment do we invest au porojo? hakuna research za kukalili lazima uingie field na uinvest wenzetu wana invest
Well said
@@ChoroTesla Rukia kusoma comment yangu. I didn't say we have invested in research, I said we need to.
@@SimbaM2kufu i got you sasa msukuma anataka vitu vijiiibue ajue wenzetu wanashinda maaabara sie tunashinda tiktok na instagram mama anaupiga mwingi
😂😂 we jamaa
Hongera mh msukuma na Esther Leo mmeonggeea. Kitu chamaa maana sn kweli kunnatatizo mahala kweny vinywaji. Hivi vipo vvya ovyo vingi. Viina itwa. Smart gynni vinyywajji. Gani hivvii. Ni. Ovyo kwa kkweli
Afathari na Nyinyi Watanzania mnavyakura vyakutosha kupambana nahizo pombe feck hapa kwetu Rwanda Kigali unakuta vijyana miaka kumu na Tano wanajikojorea sababu ya hizo pembe akinywa hata asipo kunywa Asante sana Msukuma
Upo Kigali sehem gani
Mbona professor janabi anasaidia watu wengi sana, kupitia mitandao,, naomba mwacheni mzee wetu afanye kazi kuelimisha, na kuboresha afya za watanzania. Msimtengenezee kinyongo,,, serikali inapaswa kuwapa kipaumbele watu kama professor janabi. Na sio kwenda tofauti nao.
Hujamwelewa mbunge msukuma je wewe unakula kijiko kimoja kama mlo wako wa siku?
@@samsonhamery3809 kwani dr alisema watu wale kijiko kimoja.
Ukiwa hujaelewa ni vema ukanyamaza au ukaomba kueleweshwa.
Tatizo letu huwa tunapenda kuleta negativity kwenye ukweli,ni kwa vile tumetofautiana miili yetu mwingine hata ale vipi hanenepi ,mbunge hapo aametoa mfano wa mtu anayefanya kazi ngumu what about Mimi ninaeshinda ofisini??Mimi Niko pamoja na professor Janabi katika hili kwa mustakbari wa afya yangu,sina muda/nafasi ya kufanya mazoezi basi acha nifuate kanuni za ulaji bora
Ila ni kweli ukipungua wakati wa ujana, utateseka uzeeni. Mtu akifika miaka 50 anapungua muscle na mwili unalegea. Unabaki mifupa.
Professor Janabi kaeleza vizuri, shule yake ni kwa wale wasiofanya mazoezi au wasiokuwa na kazi nzito wasile hovyo.
ndo wabunge wetu hao... anakuja bila tafiti chanjo hiizi hua zinakuja kutokana na idadi ya ugonjwa kwenye records za hospitali zilivyo haziiibuki kuhusu bajeti punguzeni matumizi ya serikali uanzishe maaabara na nyie mlioko bungeni mnawashambulia wataaalamu.
Dokta yupo vizuri alichosema. 🎉🎉🎉
Huyu jamaa leo ndo kaongea pumba tu pengine anaangaliaga meme kuhusu Janabi na hajawahi kumsikiliza😂
Kwa Mbunge huyo kila asichokipenda YEYE ni Suomi fake lakini ni mjinga wa bangi believe it.
Kabisa sema labda akumsikiliza kwa umakin pr janabi
Msukuma hajuwi kumbe hii nchi inaongozwa Kwa wahisani,mmoja tu aliekataa huu upuuzi wa kufanyiwa majaribio,laeo hii hayupo tumebaki kama mbayu mbayu,janabi anatufundisha vizuri,ukitaka kuchagua tunza hela uje uzitumie kwenye matibabu au tunza Afya uje utumie afya yako vizuri...chagua we mwenyewe.
Mbunge Msukuma kaongea point ambazo ingefaa zichukuliwe kama zilivyo kwenye utekelezaji!!!!
Hapo Kuna wasomi uchwara wanajua hayo ila sjuwi nani aliyewaloga😢😢
Huyu mtu ni darasa la Saba lakini anapointi zilozo sheheni nondo za kutosha
Mkiumwa mfateni msukuma awatibu
@@mustaphahassan589 ukitaka kuuua mti kata mizizi sio kukata majan na kuacha mzizi.....
Mf.ukipunguza wanga halaf ukala Nyama ya Kuku aliyekuzwa mwezi au wiki kipi bora
The leader he know how to protect the citizens, thanks Dr. msukuma
Musukuma yupo vizuri sana,kweli bhana south africa hawana hata haya machanjo,mama akitoka hospitali imetoka hiyo,ukirudi ni checking za kawaida
Hujamuelewa Professor Janabi , ulaji unategemea na physical activities level
Msukuma anachosema yuko sawa kwa kiasi furani. matikiti maji yanayodungwa sindano na kuku wa wiki tatu ukila vinaadhiri mwili kwa kiasi gani?? I love you Msukuma you are so geneous.
Duu mi niko mbali kwer na matikiti yanadungwa sindano.
Jamaa wanashindwa kuelewa Professor Janabi anachozungumzia ni issue ya mlo mmoja kwa siku, mlo unakuwa na aina zote za virutubisho yani ni mlo kamili. Hii ni moja ya tiba nzuri. Najua kuna watu wanajua zaidi yangu wanaweza kunisahihisha
Uwezo watu wanao wa virutubisho
uko sawaa kabisa msukuma hajaenda shule yani anakuja kulalamika wakati hata usikute hali mlo kamili
Asante sana msukuma wachane wavumbuke izo biashara ni zao na waarabu wamalize vizazi vitu watanzania vijana walindwe kama migodi ya tanzanaiti ongera sana Tena sana wenu ni simba sauti ya wanyonge vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na wageni
Unajitoa akili waarab na ushog wapi na wapi mashoga wanajulikan
MSKUMA.......achana na Professor wetu mjomba. Pitia tena UFAFANUZI wake kurwa mara Tatu,labda utamuelewa. Kama umemtaja kwa kwa KUSHEREHESHA wabunge wenzio.....hapo sawa,ila Muheshimu sana msomi wa miaka 1970,1980 ,huko nchi za kikoministi......hicho kijiko kimoja ulichokitaja kilikuwa adimu. Hongera Professor JANABI. Kizazi kijacho kitakuelewa.
Ndugu umenisaidia sana kujibu ahsante 🙏🙌huyu msukuma amejikuta nani sijui kuingilia taaluma za watu!ana katabia kadharau toka apewe udaktari wa funza chooni
anakurupuka
Mh. uko vizuri saana. Mawazo yako yafanyiwe kazi.
Tanzania yangu. Profesa watamuelewa wenye ufahamu mkubwa. Ila kwa upande wangu nampongeza Prof Janabi kwa elimu kubwa aliyotupa.
Ndugu we wa mjini jembe hulijui Wala sio mjenzi mfuate
😊
Mshamb hyu
@@MesiaMtuiNa alifafanua alisema wenye Kaz ngum ndiyo wale 😊
@@euniestherwilliam1513 Hawamwelewii profesa Janabi , yule ni mtaalamu isitoshe ndiye anayepokea taarifa za wagonjwa wote Muhimbili na sababu za magonjwa, unajua mtu unaweza ukasoma hadi Chuo kikuu lakini usiekemike ,Kwa anayempinga Janabi ana matatizo ya akili kitu kipo wazi ulaji mbaya ni chanzo cha maradhi mengi na wala hakusema watu wale kuku broiler au tikiti lililochomwa sindano
😂😂😂😂😂 Msukuma yuko sahihi saana kwa Wakulima na wafanya mazoezi chakula hakikai, ushawahi muona mchezaji wa Mpira Ana kitambi , ila wakiacha mazoezi waendelee na diet
Janabi hataki mazoezi unayoyasema wewe
@@RamadhaniJitelanikwa hiyo anataka nini
Anataka kuolewa@@agnesjohn9382
Huyu msukuma awewaziri wa afya anakili sana godbless tunakula vitu vingi
Mambo yamekua ya hovyo sana siku hizi ujinga mtu sijui ni laana gani imejaa hebu waambie hao ukweli
Hongera sana Mh. Msukuma
Waambie ukweli hao wanajifanya wanaabunu hela kuliko ubinadam yaani mambo ya hovyo kweli laaana tupu
HUYU JAMAA NI KENGE SANA SWALA LA KISOMI, LA KIAFYA UNALILETEA UIGIZAJI ILI WATU WACHEKE?. KASHEKU ACHA UJINGA
Sema kiongoz wetu tuko pamoja,
Ee yesu yasn msukuma umeongea mnoo mpaka nimelia uwiii😢😢safi.mnoo sijui itafatiliwa jamani
Dh
Mungu anaongea sio yeye
Kuhusu chanjo mimi huwa sijachi watoto wangu ovyoovyo Hongera sana Msukuma unaongea pointi za maana
Hizo kuku wa siku chache nichukixo kwa Mungu
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wasukuma oyeeee wako field shamabani
Swala la chanjo hapo mr pm mungu akubariki sana endelea kuwa muwaz na kusema bila kigugumiz maana hali n mby saanaaaa tunaumia
Huyu mbunge anaongea vitu vya muhimu sana kwenye maisha ya watu.
Professors yupo sahihi kabisa kulingana na mzingila na kazi ya mtu anayofanya, Mimi nimojawapo ninayemfuatilia sana, msukuma nendapole.
kweli msukuma labda hajamfahamu na hataki kujipima kutumia akili yake
Msukuma ameongea point, japo hoja zake zinakosa mashiko kwa sababu wanaopaswa kuwajibika wamekaa kimya.
Namuelewa sana my msukuma anasema anaeishi korogwe ni kweli kabisa amewahi kuniuzia viatu,naomba Bunge limlinde na kumtunza ana maoni ya mbali atatufikisha pazuri speed nafasi zaidi
Hongera sana msukuma
Namuona magu wa baadae aisee safi sana msukuma upo sahihi
Huyu mbunge mie namkubali sanaa huwa ANAONGEA UKWELI MTUPU💯 . Mungu atupe SIKIO LA KUSIKILIZA UMUHIMU WA KUFANYA UTAFITI WA VITU VINAVYOTUMIWA NA WANANCHI WA TANZANIA 🇹🇿🇹🇿🤲🤲
Hii tanzania tunaweza letewa sumu na tusijue tukala na TBS ndo imepitisha tule
Kabisaaa
Sbb yy ni pr..
@@simasima8084 hasa hizi matirial ya vinywaji vikali ni hatari sana waliambiwa tuipitishe gongo bungeni ili ipikwe kiasili zaidi nadhani tungekunwa vitu original sana tusingeugua mafigo na maini tungekula vitu vya asili kabisa
@@misangasaidih8764 Gongo haram sumu zinazotoka nje halali na TBS wanapitisha wanakwambia hii imepimwa hii nchi tunauwana wenyewe kwa wenyewe
sio tanzania ni Tanzania
Au bass msukuma njoo nikupe ng'ombe make unanigusaga kwakwel
Kaka uko juu
Mi nakuelewa hongera sana
Kwakweli msukuma uko vizuri, sana sana, ninatamani nikuone nikae na wewe angalau wiki moja, .kwakweli mungu akulipe.
We ni mtu Sahihi Sana tena sana
Da! Kweli "Bunge" halina mipaka. Hata Professor Janabi mwamsasambua? Hapana!! No! No! No. Nitafurahi Sana nikisikia mumemuomba radhi. Yaani "Wabunge" mnahitaji Sana elimu ya Dr Janabi maana mnashinda mmekaa na %kubwa mna vitamin vya kutisha. Ingekua Bora Sana Kama mngemkaribisha akawapiga darasa siku moja
Hili jinga linatumia kipaza sauti vibaya kutukana wenye taaluma zao!haifikii hata nukta alichokisomea profesa janabi!amuombe radhi hadhi ya janabi haifii hata kwa ukucha!Toka apewe udaktari wa funza chooni basi amekua namadharau sana bungeni Lenyewe halikwenda shule sasa linataka na wengine waonekane wajinga kama yeye! Nashangaa sana kila likiongea nikuwashusha wengine utadhani yeye kafanya la maana huko jimboni kwake madudu matupu!limekuwa natabia likifika bungeni kukosoa wengine
Hahahha akakufundishe nyumbani kwako sie tunajua
Ukiwa na kichwa kigumu huwezi elewa kamwe alichosema msukuma
Nikweli ukosahihi.
Mweshimiwa msukuma hanaga mambo ya kupinfisha maneno yuko sahihi sana
Hili la kadi za krinik Ziangali we na ulinzi uwekwe Tena watakukulu kama kulikuwa na hela za moto basi na kadi za moto ziwekwe
Wewe mweshimiya Mungu akubariki
Msukuma wewe ni jembe nakuombea mungu akubariki Sana
Upo vizuri mh Msukuma unaongea ukweli
Mh msukuma ni Nuru ya taifa anasimama sanaa Kwa wananchi
Msukuma ananguvu ya Mungu ndani yake
Msukuma huwezi jilinganisha na Prof Janabi acha ushamba Prof siyo mwenzio hata kidogo
chanjo kweli zimezidi😂😂😂Msukuma bwana😂😂
Kwan kua mbunge unatakaiwa uwe na nn maana naona nikikaa na mm mtambo unawaka😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
King msukuma unenavyo nisahihi
Kweli msukuma kuna baadhi ya mambo hayahitaji ufike hata chuo.sijui kwanini hatuwezi kutumia akili.Watoa maamuzi mtusaidie.
Ukitoka bungeni kunywa soda baridi❤
Msukuma umetsha baba😂😂 hongera
Jamaa Yuko vizuri sana
Niko pamoja na wewe mkuu wangu umesema kweli kabisa Mungu Akubariki
Msukuma ni wa moto hongera yako
💪💥💯makin sanaaa
Doctor Msukuma nakubari sana kazi yako
Kazi gani ameifanya ikaonekana na kusifiwa? tuambie nasi tumsifie
Mh.Msukuma nakwelewa sana kwa unayoyaongea ni hatari kwa afya yetu😢
He is genius😂😂
Kwakweli tunapotea Sana Tanzania
Mzee unasema kweli,nani kasema msukuma siyo msomi.Mimi naona msukuma anasema ukweli wote ambao sasahivi Tz tumekuwa kama pango la kuletewa chanjo za kila aina.Kama nchi tusipoangali tunaweza kumalizwa na hawa wenzetu kutoka magharib,kwani kumekuwa na magonjwa ya kila aina,mengine hayana majina kumbe ni kwa sababu ya vyakula na chanjo zisizo thibitishwa na wataalamu wetu.
Naacha kunywa Energy 😢😢😢
Msukuma da!! eti sipingani nae dada angu kwakuwa yeye ni mteja wa hvyo vitu
Msukuma nakukubali Sana. Ninakufutia tu
Msukuma noma sana😂😂
🎉😂❤😂 congratulations msukuma
😂😂aisehh sio lazima usome sana kikubwa nikujiuliza kabla ya kusema kitu jamaa anajua sana huyu
Sema baba mtetezi 🎉😂
Daima nitaendelea kukubali MSUKUMA
Hongera sana mkuu
Yaan msukum cjui kwann hupew nafas ya juu katk uongoz wa SERIKALI au ndo ile tanzania hatupend wasema ukweli???? Mungu akubarike saaaaan nakupenda unanifrahisha
Ni kweli hatiwezi kula kijiko kimoja ugali kutwa mara 3 janabi tusamee😂
Hayo mambo serikali ndio inataka gongo hawataki pombe za sasa watu wengi wanakufa kwkwel
Makofi mengi mengi kwako Mh
Iki ni kichwa dah 🙏🙏
M nadhani kusoma sana kuna mchanganya mtu naona janabi anavyozidi kulisha watu matangopori msukuma ameeleza vizuri, hii ni dhahiri wasomi wetu wengi hawana msaada ktk jamii zaidi ya kuwapotosha na wengi hufuata maelezo hayo wakiwaamini wasomi hao.
Ndugu yule ni Professional hawezi kuwalisha matango pori ,anachokuongelea kwenye ulaji yupo sawa angalia Tanzania ya leo imejaa wagonjwa wa moyo na pressure ni kutokana na ulaji mbaya
Bunge ni mara chache sana kusimamia vitu vyenye maslahi muhimu kwa nchi ila vyenye shinikizo la kutoka nje hapo kwa mzungu bado hatujachomoka chanjo hizo ndo vifo vya ghafla haviji kuisha. Msukuma Mungu akusaidie umeongea unaloweza kuongea kwa kifupi umenawa. Tanzania nani wa kuisemea nani wa kuiokoa na mikono ya mabeberu 😭😭
Mimi janabi kanisaidia from 120 kgs to 95kg sina chakumlipa ila mungu atamlipa, kama kitu hakina umuhimu kwako ni bora kunyamaza sababu sio kila kitu ni cha kila mtu pleasee tuachien janabi wetu
Naomba kuuliza amekupa ushauri kitu gani?
Janabi wako tena 😂😂
Amesema wao wa vijijini.wewe wa mjini unakula mno na hupo busy hushiki jembe huna kazi nzito. Uwe unamsikiliza mtu anaongea nini
@@kellyngogo3319 sasa aloambiwa walikua wanaambiwa wao wa vijijini nan? Kwanza mtu wa kijijin hata janabi hamjui mpigie ndugu yako wa kijijin muulize unamjua prof janabi? Au unaongelea kijiji gan?
Dr.Janabi tunamshukuru ametuelimisha vizuri tu kwa wanaojali afya zao wameelimika! Kwa wanaojali kujaza matumbo yao tu watakuunga mkono Mzee!
Safi sana bila hivi tutaisha
Umeongea point sana
Msukuma 🥰🥰🥰🥰🥰
Msukuma big up sana
Apooo kwenye chanzoo nomaa Sanaa ckupingi DR MSUKUMA 😂😂😂😂😂
Hongera sanaa musukuma
Anajua Sana uyu mwamba
Nahisi Hata Sumu tushakula na kunywa na hazikutuua kwa sababu tushakula Sumu nyingi mpaka zishakuwa Antibiotics 😂
Nakubali sanaa musukuma
Mbn m,bunge wetu ndakidemi Yuko kimya kwamba mosh vijijini amna changamoto
🤣🤣🤣🤣🤣🤣musukumaaa daa
Brilliant idea
Allah akujalie inshallah
Hakuna kizuri mpaka mwisho wala kibaya mpaka mwisho. Mwerevu ni yule anayetambuwa uzuri kwenye kibaya pia kutambuwa ubaya kwenye kizuri. Akili ya kuambiwa, changanya na ya kwako.
Noma sana❤ #tellaaxistz
Hujamuelewa profesa
Huyu magufuli mwengine 😂
Janabi ni mtu ganii Kwa mjomba Sasa nimemjua Mungu akupe maisha maref Janabi tundu la sindano